Hesabu 33:48 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC48 Wakasafiri kutoka hiyo milima ya Abarimu, wakapiga kambi katika nchi tambarare za Moabu, karibu na mto wa Yordani, hapo Yeriko. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema48 Kutoka milima ya Abarimu, walisafiri na kupiga kambi yao katika tambarare za Moabu ngambo ya mto Yordani karibu na Yeriko. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND48 Kutoka milima ya Abarimu, walisafiri na kupiga kambi yao katika tambarare za Moabu ngambo ya mto Yordani karibu na Yeriko. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza48 Kutoka milima ya Abarimu, walisafiri na kupiga kambi yao katika tambarare za Moabu ng'ambo ya mto Yordani karibu na Yeriko. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu48 Wakaondoka kwenye milima ya Abarimu na kupiga kambi kwenye tambarare ya Moabu, kando ya Yordani, ng’ambo ya Yeriko. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu48 Wakaondoka kwenye milima ya Abarimu na kupiga kambi kwenye tambarare ya Moabu, kando ya Yordani ng’ambo ya Yeriko. Tazama sura |