Hesabu 33:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 hapo Wamisri walipokuwa wanazika wazaliwa wa kwanza wao wote, BWANA aliokuwa amewapiga kati yao; BWANA akafanya hukumu juu ya miungu yao nayo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 ambao walikuwa wanawazika wazaliwa wao wa kwanza wa kiume aliowaua Mwenyezi-Mungu; kwani Mwenyezi-Mungu alikuwa ameiadhibu hata miungu yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 ambao walikuwa wanawazika wazaliwa wao wa kwanza wa kiume aliowaua Mwenyezi-Mungu; kwani Mwenyezi-Mungu alikuwa ameiadhibu hata miungu yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 ambao walikuwa wanawazika wazaliwa wao wa kwanza wa kiume aliowaua Mwenyezi-Mungu; kwani Mwenyezi-Mungu alikuwa ameiadhibu hata miungu yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 waliokuwa wakizika wazaliwa wao wa kwanza wote, ambao Mwenyezi Mungu alikuwa amewaua kati yao, kwa kuwa Mwenyezi Mungu alikuwa ameleta hukumu juu ya miungu yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 waliokuwa wakizika wazaliwa wao wa kwanza wote, ambao bwana alikuwa amewaua katikati yao, kwa kuwa bwana alikuwa ameleta hukumu juu ya miungu yao. Tazama sura |