Hesabu 33:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC36 Wakasafiri kutoka Esion-geberi, wakapiga kambi katika nyika ya Sini (ni Kadeshi). Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Waliondoka Esion-geberi, wakasafiri na kupiga kambi yao katika jangwa la Sini, (yaani Kadeshi). Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Waliondoka Esion-geberi, wakasafiri na kupiga kambi yao katika jangwa la Sini, (yaani Kadeshi). Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Waliondoka Esion-geberi, wakasafiri na kupiga kambi yao katika jangwa la Sini, (yaani Kadeshi). Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Wakaondoka Esion-Geberi na kupiga kambi huko Kadeshi katika Jangwa la Sini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Wakaondoka Esion-Geberi na kupiga kambi huko Kadeshi katika Jangwa la Sini. Tazama sura |