Hesabu 32:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Wakasema, Kama tumepata kibali mbele ya macho yako, sisi watumishi wako na tupewe nchi hii iwe milki yetu; usituvushe mto wa Yordani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Basi, kama mkitukubalia tunawaomba mtupe nchi hii iwe mali yetu; msituvushe ngambo ya mto Yordani.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Basi, kama mkitukubalia tunawaomba mtupe nchi hii iwe mali yetu; msituvushe ngambo ya mto Yordani.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Basi, kama mkitukubalia tunawaomba mtupe nchi hii iwe mali yetu; msituvushe ng'ambo ya mto Yordani.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Kama tumepata kibali mbele ya macho yako, nchi hii na ipewe watumishi wako kama milki yetu. Usitufanye tuvuke Yordani.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Kama tumepata kibali mbele ya macho yako, nchi hii na ipewe watumishi wako kama milki yetu. Usitufanye tuvuke Yordani.” Tazama sura |