Hesabu 32:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC31 Wana wa Gadi, na wana wa Reubeni, wakajibu na kusema, Kama BWANA alivyotuambia sisi watumishi wako, ndivyo tutakavyofanya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Watu wa Gadi na wa Reubeni wakajibu, “Bwana, sisi tutafanya kama Mwenyezi-Mungu alivyotuambia sisi watumishi wako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Watu wa Gadi na wa Reubeni wakajibu, “Bwana, sisi tutafanya kama Mwenyezi-Mungu alivyotuambia sisi watumishi wako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Watu wa Gadi na wa Reubeni wakajibu, “Bwana, sisi tutafanya kama Mwenyezi-Mungu alivyotuambia sisi watumishi wako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Wagadi na Wareubeni wakajibu, “Watumishi wako watafanya lile Mwenyezi Mungu alilosema. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Wagadi na Wareubeni wakajibu, “Watumishi wako watafanya lile bwana alilosema. Tazama sura |