Hesabu 32:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Watoto wetu, na wake wetu, na kondoo wetu, na ng'ombe wetu wote, watakuwa hapo katika miji ya Gileadi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Wake zetu, watoto wetu na kondoo na ng'ombe, watabaki hapa katika miji ya Gileadi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Wake zetu, watoto wetu na kondoo na ng'ombe, watabaki hapa katika miji ya Gileadi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Wake zetu, watoto wetu na kondoo na ng'ombe, watabaki hapa katika miji ya Gileadi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Watoto na wake zetu, makundi ya mbuzi na kondoo, na makundi ya ng’ombe wetu, watabaki hapa katika miji ya Gileadi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Watoto na wake zetu, makundi ya mbuzi na kondoo, na makundi ya ng’ombe zetu, watabaki hapa katika miji ya Gileadi. Tazama sura |