Hesabu 32:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Ndipo wana wa Gadi na wana wa Reubeni wakanena na Musa, na kumwambia, Sisi watumishi wako tutafanya kama wewe bwana wangu utuagizavyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Kisha, watu wa Gadi na wa Reubeni wakamwambia Mose, “Sisi watumishi wako tutafanya kama ulivyotuamuru. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Kisha, watu wa Gadi na wa Reubeni wakamwambia Mose, “Sisi watumishi wako tutafanya kama ulivyotuamuru. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Kisha, watu wa Gadi na wa Reubeni wakamwambia Mose, “Sisi watumishi wako tutafanya kama ulivyotuamuru. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Wagadi na Wareubeni wakamwambia Musa, “Sisi watumishi wako tutafanya kama bwana wetu anavyotuagiza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Wagadi na Wareubeni wakamwambia Musa, “Sisi watumishi wako tutafanya kama bwana wetu anavyotuagiza. Tazama sura |