Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Hesabu 32:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 Basi Musa akawaambia, Kama mtafanya jambo hili; kama mtajivika silaha, ili kutangulia mbele ya BWANA mwende vitani,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Mose akawaambia, “Kama kweli mtafanya kama mlivyosema, basi papa hapa mbele ya Mwenyezi-Mungu, chukueni silaha zenu kwenda vitani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Mose akawaambia, “Kama kweli mtafanya kama mlivyosema, basi papa hapa mbele ya Mwenyezi-Mungu, chukueni silaha zenu kwenda vitani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Mose akawaambia, “Kama kweli mtafanya kama mlivyosema, basi papa hapa mbele ya Mwenyezi-Mungu, chukueni silaha zenu kwenda vitani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Kisha Musa akawaambia, “Kama mtafanya jambo hili, kama mtajivika silaha mbele za Mwenyezi Mungu kwa ajili ya vita,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Kisha Musa akawaambia, “Kama mtafanya jambo hili, kama mtajivika silaha mbele za bwana kwa ajili ya vita,

Tazama sura Nakili




Hesabu 32:20
8 Marejeleo ya Msalaba  

tena kama kila mume wa kwenu mwenye kuchukua silaha atavuka Yordani mbele ya BWANA, hata atakapokuwa amekwisha watoa adui zake mbele yake,


Tena Yoshua akawaambia Wareubeni, na Wagadi, na hao wa nusu ya kabila la Manase, akasema,


Wakati huo Yoshua akawaita Wareubeni, na Wagadi, na hiyo nusu ya kabila la Manase,


Basi wana wa Reubeni, na wana wa Gadi, na hiyo nusu ya kabila la Manase wakarudi, wakatoka kwa wana wa Israeli katika Shilo, ulioko nchi ya Kanaani, ili waende nchi ya Gileadi, hiyo nchi ya milki yao, waliyokuwa wanaimiliki, sawasawa na amri ya BWANA kwa mkono wa Musa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo