Hesabu 31:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Wana wa Israeli wakawachukua mateka wanawake wa Midiani na watoto wao; na ng'ombe zao wote, na kondoo zao wote, na mali zao zote, wakachukua nyara. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Waisraeli waliteka nyara: Ng'ombe, kondoo na mali yao yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Waisraeli waliteka nyara: Ng'ombe, kondoo na mali yao yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Waisraeli waliteka nyara: ng'ombe, kondoo na mali yao yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Waisraeli waliwateka wanawake wa Midiani pamoja na watoto wao, na wakachukua makundi ya ng’ombe, kondoo na mali yao kama nyara. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Waisraeli waliwateka wanawake wa Kimidiani pamoja na watoto wao na walichukua makundi ya ng’ombe, kondoo na mali zao kama nyara. Tazama sura |