Hesabu 31:52 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC52 Na dhahabu yote ya sadaka ya kuinuliwa waliyosongeza kwa BWANA, ya makamanda wa maelfu, na makamanda wa mamia, ilikuwa shekeli elfu kumi na sita, mia saba na hamsini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema52 Jumla ya dhahabu yote waliyomtolea Mwenyezi-Mungu ilikuwa karibu kilo 200. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND52 Jumla ya dhahabu yote waliyomtolea Mwenyezi-Mungu ilikuwa karibu kilo 200. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza52 Jumla ya dhahabu yote waliyomtolea Mwenyezi-Mungu ilikuwa karibu kilo 200. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu52 Dhahabu yote kutoka kwa wakuu wa jeshi wa maelfu na wakuu wa jeshi wa mamia ambavyo Musa na kuhani Eleazari walimletea Mwenyezi Mungu kama zawadi ilikuwa shekeli elfu kumi na sita, mia saba na hamsini (16,750). Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu52 Dhahabu yote kutoka kwa wakuu wa jeshi wa maelfu na wakuu wa jeshi wa mamia ambavyo Musa na kuhani Eleazari walimletea bwana kama zawadi ilikuwa shekeli 16,750. Tazama sura |