Hesabu 31:51 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC51 Musa na Eleazari kuhani wakapokea kwao hiyo dhahabu, maana, vile vyombo vyote vilivyofanyizwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema51 Mose na kuhani Eleazari wakapokea vitu vyote vilivyonakshiwa kwa dhahabu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND51 Mose na kuhani Eleazari wakapokea vitu vyote vilivyonakshiwa kwa dhahabu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza51 Mose na kuhani Eleazari wakapokea vitu vyote vilivyonakshiwa kwa dhahabu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu51 Musa na kuhani Eleazari wakapokea kutoka kwao dhahabu, yaani vyombo vyote vilivyonakshiwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu51 Musa na kuhani Eleazari wakapokea kutoka kwao dhahabu, yaani vyombo vyote vilivyonakshiwa. Tazama sura |