Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Hesabu 31:48 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

48 Na majemadari waliokuwa juu ya maelfu ya hilo jeshi, na viongozi wa maelfu, na viongozi wa mamia, wakamkaribia Musa;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

48 Kisha maofisa wa majeshi, makapteni na makamanda wa askari wakamwendea Mose,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

48 Kisha maofisa wa majeshi, makapteni na makamanda wa askari wakamwendea Mose,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

48 Kisha maofisa wa majeshi, makapteni na makamanda wa askari wakamwendea Mose,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

48 Kisha maafisa waliokuwa juu ya vikosi vya jeshi, wakuu wa jeshi wa maelfu na wakuu wa jeshi wa mamia, walimwendea Musa

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

48 Kisha maafisa waliokuwa juu ya vikosi vya jeshi, wakuu wa jeshi wa maelfu na wakuu wa jeshi wa mamia, walimwendea Musa

Tazama sura Nakili

Hesabu 31:48
4 Marejeleo ya Msalaba  

Musa akawakasirikia majemadari wa jeshi, na hao makamanda wa maelfu, na makamanda wa mamia, hao waliorudi kutoka kupigana vita.

na katika hiyo nusu iliyokuwa ya wana wa Israeli, Musa akatwaa mmoja aliyetolewa katika kila hamsini, wa binadamu na wa wanyama, akawapa Walawi, wenye wajibu wa kuhudumu katika maskani ya BWANA; kama BWANA alivyomwagiza Musa.

wakamwambia Musa wakisema, Sisi watumishi wako tumefanya jumla ya hesabu ya watu wa vita walio chini ya mikono yetu, na hapana hata mmoja aliyetupungukia.

Na maofisa na waseme na watu, na kuwaambia, Ni mtu gani aliye hapa aliyejenga nyumba mpya, wala hajaiweka wakfu? Aende akarudi nyumbani kwake, asije akafa mapiganoni, ikawekwa wakfu na mtu mwingine.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo