Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Hesabu 31:40 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

40 Na wanadamu walikuwa watu elfu kumi na sita; katika hao sehemu ya BWANA ilikuwa ni watu thelathini na wawili.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

40 Watu walikuwa 16,000, na katika hao sehemu ya Mwenyezi-Mungu ilikuwa ni watu thelathini na wawili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

40 Watu walikuwa 16,000, na katika hao sehemu ya Mwenyezi-Mungu ilikuwa ni watu thelathini na wawili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

40 Watu walikuwa 16,000, na katika hao sehemu ya Mwenyezi-Mungu ilikuwa ni watu thelathini na wawili.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

40 Watu elfu kumi na sita, ambao ushuru kwa ajili ya Mwenyezi Mungu ulikuwa watu thelathini na wawili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

40 Watu 16,000 ambao ushuru kwa ajili ya bwana ulikuwa watu 32.

Tazama sura Nakili

Hesabu 31:40
3 Marejeleo ya Msalaba  

Reu akaishi miaka thelathini na miwili, akamzaa Serugi.

Na punda walikuwa elfu thelathini na mia tano, katika hao kodi ya BWANA ilikuwa punda sitini na mmoja.

Basi Musa akampa Eleazari kuhani hiyo sehemu, iliyokuwa sadaka ya kuinuliwa kwa BWANA, kama BWANA alivyomwagiza Musa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo