Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Hesabu 31:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 Katika kila kabila mtatoa watu elfu moja, katika kabila zote za Israeli, nanyi mtawatuma waende vitani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Kutoka kila kabila la Israeli, mtapeleka watu 1.000 vitani.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Kutoka kila kabila la Israeli, mtapeleka watu 1.000 vitani.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Kutoka kila kabila la Israeli, mtapeleka watu 1,000 vitani.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Peleka wanaume elfu moja vitani kutoka kila kabila la Israeli.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Peleka wanaume 1,000 vitani kutoka kila kabila la Israeli.”

Tazama sura Nakili




Hesabu 31:4
5 Marejeleo ya Msalaba  

Na watu watano wa kwenu watawafukuza watu mia moja, na watu mia moja wa kwenu watawafukuza watu elfu kumi; na adui zenu wataanguka mbele yenu kwa upanga.


Basi Musa akanena na watu, na kuwaambia, Wavikeni silaha watu miongoni mwenu waende vitani, ili waende kupigana na Midiani, wapate kumlipizia kisasi BWANA, juu ya Midiani.


Basi walitolewa katika maelfu ya Israeli, elfu moja ya kila kabila, wanaume elfu kumi na mbili walioandaliwa kwa vita.


BWANA akamwambia Gideoni, Watu hawa walio pamoja nawe ni wengi mno kwangu kuwatia Wamidiani katika mikono yao, wasije Israeli wakajivuna juu yangu wakisema, Mkono wangu mwenyewe ndio ulioniokoa.


Basi, Yonathani akamwambia yule kijana aliyembebea silaha zake, Haya! Na twende tukavuke ngomeni mwa hao wasiotahiriwa; yamkini BWANA atatutendea kazi; kwa maana hakuna la kumzuia BWANA asiokoe, kama ni kwa wengi au kama ni kwa wachache.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo