Hesabu 31:39 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC39 Na punda walikuwa elfu thelathini na mia tano, katika hao kodi ya BWANA ilikuwa punda sitini na mmoja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema39 Punda wao walikuwa 30,500, na katika hao 61 walitolewa zaka kwa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND39 Punda wao walikuwa 30,500, na katika hao 61 walitolewa zaka kwa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza39 Punda wao walikuwa 30,500, na katika hao 61 walitolewa zaka kwa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu39 punda elfu thelathini na mia tano, ambao ushuru kwa ajili ya Mwenyezi Mungu ulikuwa punda sitini na mmoja; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu39 punda 30,500 ambao ushuru kwa ajili ya bwana ulikuwa punda 61; Tazama sura |