Hesabu 31:38 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC38 Tena, ng'ombe walikuwa elfu thelathini na sita; na katika hao kodi ya BWANA ilikuwa ng'ombe sabini na wawili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema38 Ngombe wa wanajeshi walikuwa 36,000, na katika hao 72 walitolewa zaka kwa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND38 Ngombe wa wanajeshi walikuwa 36,000, na katika hao 72 walitolewa zaka kwa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza38 Ng'ombe wa wanajeshi walikuwa 36,000, na katika hao 72 walitolewa zaka kwa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu38 ng’ombe elfu thelathini na sita, ambao ushuru kwa ajili ya Mwenyezi Mungu ulikuwa ng’ombe sabini na wawili; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu38 ng’ombe 36,000 ambao ushuru kwa ajili ya bwana ulikuwa ng’ombe 72; Tazama sura |