Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Hesabu 31:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

37 na kodi ya BWANA katika hao kondoo ilikuwa kondoo mia sita na sabini na watano.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 katika hao 675 walitolewa kwa Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 katika hao 675 walitolewa kwa Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 katika hao 675 walitolewa kwa Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 ambao ushuru kwa ajili ya Mwenyezi Mungu ulikuwa kondoo mia sita na sabini na watano (675);

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 ambayo ushuru kwa ajili ya bwana ilikuwa kondoo 675;

Tazama sura Nakili




Hesabu 31:37
3 Marejeleo ya Msalaba  

Na hiyo nusu ambayo ilikuwa ni sehemu ya hao waliotoka kwenda vitani, idadi yake ilikuwa kondoo elfu mia tatu na thelathini na saba na mia tano;


Tena, ng'ombe walikuwa elfu thelathini na sita; na katika hao kodi ya BWANA ilikuwa ng'ombe sabini na wawili.


Nawe sikukuu ya majuma umfanyie BWANA, Mungu wako, kwa kutoa sadaka ya hiari ya mkono wako, utakayotoa kwa kadiri akubarikiavyo BWANA, Mungu wako;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo