Hesabu 31:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC36 Na hiyo nusu ambayo ilikuwa ni sehemu ya hao waliotoka kwenda vitani, idadi yake ilikuwa kondoo elfu mia tatu na thelathini na saba na mia tano; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Nusu yake, sehemu ambayo iligawiwa wanajeshi waliokwenda vitani, ilikuwa kondoo 337,500, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Nusu yake, sehemu ambayo iligawiwa wanajeshi waliokwenda vitani, ilikuwa kondoo 337,500, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Nusu yake, sehemu ambayo iligawiwa wanajeshi waliokwenda vitani, ilikuwa kondoo 337,500, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Nusu ya fungu la wale waliopigana vitani lilikuwa: Kondoo elfu mia tatu na thelathini na saba na mia tano, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Nusu ya fungu la wale waliokwenda kupigana vitani lilikuwa: Kondoo 337,500 Tazama sura |