Hesabu 31:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC35 tena wanadamu jumla yao ilikuwa elfu thelathini na mbili, katika hao wanawake ambao hawakumjua mwanamume kwa kulala pamoja naye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 na wasichana ambao hawakuwa wamelala na mwanamume 32,000. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 na wasichana ambao hawakuwa wamelala na mwanamume 32,000. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 na wasichana ambao hawakuwa wamelala na mwanamume 32,000. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 na wanawake elfu thelathini na mbili ambao hawakuwahi kulala na mwanaume. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 na wanawake 32,000 ambao hawakumjua mume kwa kufanya tendo la ndoa. Tazama sura |