Hesabu 31:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Basi masazo ya hizo nyara walizotwaa watu wa vita, zilikuwa ni kondoo elfu mia sita na sabini na tano, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Nyara walizoteka wanajeshi zilikuwa: Kondoo 675,000, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Nyara walizoteka wanajeshi zilikuwa: Kondoo 675,000, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Nyara walizoteka wanajeshi zilikuwa: kondoo 675,000, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Nyara zilizobaki kutoka mateka ambayo askari walichukua ni kondoo elfu mia sita na sabini na tano, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Nyara zilizobaki kutoka mateka ambayo askari walichukua ni kondoo 675,000, Tazama sura |