Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Hesabu 31:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

31 Musa na Eleazari kuhani wakafanya kama BWANA alivyomwagiza Musa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Mose na kuhani Eleazari walifanya kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Mose na kuhani Eleazari walifanya kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Mose na kuhani Eleazari walifanya kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Kwa hiyo Musa na kuhani Eleazari wakafanya kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza Musa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Kwa hiyo Musa na kuhani Eleazari wakafanya kama bwana alivyomwagiza Musa.

Tazama sura Nakili




Hesabu 31:31
4 Marejeleo ya Msalaba  

mwana wa Abishua, mwana wa Finehasi, mwana wa Eleazari, mwana wa Haruni, kuhani mkuu;


Basi wana wa Israeli wakaenda na kufanya mambo hayo; vile vile kama BWANA alivyowaamuru Musa na Haruni, ndivyo walivyofanya.


Na katika hiyo nusu ya wana wa Israeli utatwaa mmoja atakayetolewa katika kila hamsini, katika wanadamu, na katika ng'ombe, na katika punda, na katika kondoo, maana, katika wanyama wote, ukawape Walawi, hao wenye wajibu wa kuhudumu maskani ya BWANA.


Basi masazo ya hizo nyara walizotwaa watu wa vita, zilikuwa ni kondoo elfu mia sita na sabini na tano,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo