Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Hesabu 31:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

29 twaa katika nusu yao, ukampe Eleazari kuhani, kuwa sadaka ya kuinuliwa kwa BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 umpe kuhani Eleazari kuwa sadaka kwa Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 umpe kuhani Eleazari kuwa sadaka kwa Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 umpe kuhani Eleazari kuwa sadaka kwa Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Chukua ushuru huu kutoka fungu lao, umpe kuhani Eleazari kuwa sehemu ya Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Chukua ushuru huu kutoka fungu lao, umpe kuhani Eleazari kama sehemu ya bwana.

Tazama sura Nakili




Hesabu 31:29
7 Marejeleo ya Msalaba  

Nawe kitakase kile kidari cha ile sadaka ya kutikiswa, na lile paja la sadaka ya kuinuliwa, lililotikiswa, na lililoinuliwa juu, vya yule kondoo wa kuwekwa kwa kazi takatifu, huyo aliyekuwa kwa ajili ya Haruni, na huyo aliyekuwa kwa ajili ya wanawe;


Tena utanena na Walawi, na kuwaambia, Hapo mtakapoitwaa zaka mkononi mwa wana wa Israeli niliyowapa ninyi kutoka kwao kuwa urithi wenu, ndipo mtakaposongeza sadaka ya kuinuliwa kwa BWANA katika hiyo, iwe zaka katika hiyo zaka.


Hivyo ninyi nanyi mtasongeza sadaka ya kuinuliwa kwa BWANA katika zaka zenu zote, mpokeazo mikononi mwa wana wa Israeli; kwa hiyo mtampa Haruni kuhani hiyo sadaka ya kuinuliwa kwa BWANA.


kisha uwatoze hao watu wa vita waliotoka kwenda vitani sehemu kwa ajili ya BWANA; mmoja katika mia tano, katika wanadamu, na katika ng'ombe, na katika punda, na katika kondoo;


Na katika hiyo nusu ya wana wa Israeli utatwaa mmoja atakayetolewa katika kila hamsini, katika wanadamu, na katika ng'ombe, na katika punda, na katika kondoo, maana, katika wanyama wote, ukawape Walawi, hao wenye wajibu wa kuhudumu maskani ya BWANA.


Nanyi mtafurahi mbele za BWANA, Mungu wenu, ninyi, na wana wenu, na binti zenu, na watumishi wenu wa kiume na wa kike, na Mlawi aliyemo malangoni mwenu; kwa kuwa hana sehemu wala urithi kwenu.


Jilinde nafsi yako usimpuuze Mlawi siku zote utakazoishi katika nchi yako.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo