Hesabu 31:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Kisha Eleazari kuhani akawaambia wanaume wa vita wote waliokwenda vitani, Hii ndiyo amri ya sheria BWANA aliyomwagiza Musa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Kuhani Eleazari akawaambia wanaume waliorudi vitani, “Hii ndiyo sheria ambayo Mwenyezi-Mungu amempa Mose. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Kuhani Eleazari akawaambia wanaume waliorudi vitani, “Hii ndiyo sheria ambayo Mwenyezi-Mungu amempa Mose. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Kuhani Eleazari akawaambia wanaume waliorudi vitani, “Hii ndiyo sheria ambayo Mwenyezi-Mungu amempa Mose. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Kisha kuhani Eleazari aliwaambia askari waliokuwa wameenda vitani, “Haya ndio matakwa ya sheria ambayo Mwenyezi Mungu alimpa Musa: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Kisha kuhani Eleazari aliwaambia askari waliokuwa wamekwenda vitani, “Haya ndiyo matakwa ya sheria ambayo bwana alimpa Musa: Tazama sura |