Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Hesabu 31:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

18 Lakini hao wasichana wote ambao hawakumjua mwanamume kwa kulala pamoja naye, mtawaweka hai kwa ajili yenu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Lakini msiwaue wasichana wote ambao hawajapata kulala na mwanamume; waacheni hai kwa ajili yenu wenyewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Lakini msiwaue wasichana wote ambao hawajapata kulala na mwanamume; waacheni hai kwa ajili yenu wenyewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Lakini msiwaue wasichana wote ambao hawajapata kulala na mwanamume; waacheni hai kwa ajili yenu wenyewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 lakini mwacheni hai kwa ajili yenu kila msichana ambaye hajawahi kulala na mwanaume.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 lakini mwacheni hai kwa ajili yenu kila msichana ambaye kamwe hajawahi kuzini na mwanaume.

Tazama sura Nakili




Hesabu 31:18
7 Marejeleo ya Msalaba  

Na hao mataifa watawatwaa na kuwaleta mpaka mahali pao wenyewe, na nyumba ya Israeli watawamiliki, na kuwafanya watumishi na wajakazi katika nchi ya BWANA; nao watawachukua hali ya kufungwa watu wale waliowafunga wao, nao watawamiliki watu wale waliowaonea.


Tena kuhusu watumishi wako na wajakazi wako, utakaokuwa nao; mataifa walio kando yenu, katika hao mtanunua watumishi na wajakazi.


Basi kwa ajili hiyo mwueni kila mwanamume katika hao watoto, na kila mwanamke aliyemjua mwanamume kwa kulala pamoja naye.


Nanyi fanyeni matuo yenu nje ya kambi muda wa siku saba; mtu yeyote aliyemwua mtu, na yeyote aliyemgusa mtu aliyeuawa, jitakaseni nafsi zenu siku ya tatu, na siku ya saba, ninyi na mateka yenu.


lakini wanawake na watoto, na wanyama wa miji, na vilivyo mjini vyote, navyo ni nyara zake zote, uvitwae viwe mateka kwako; nawe utakula nyara za adui zako alizokupa BWANA, Mungu wako.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo