Hesabu 31:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Basi kwa ajili hiyo mwueni kila mwanamume katika hao watoto, na kila mwanamke aliyemjua mwanamume kwa kulala pamoja naye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Kwa hiyo basi, waueni watoto wote wa kiume na kila mwanamke aliyewahi kulala na mwanamume. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Kwa hiyo basi, waueni watoto wote wa kiume na kila mwanamke aliyewahi kulala na mwanamume. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Kwa hiyo basi, waueni watoto wote wa kiume na kila mwanamke aliyewahi kulala na mwanamume. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Sasa waue wavulana wote. Pia muue kila mwanamke ambaye alikwisha fanya tendo la ndoa, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Sasa waue wavulana wote. Pia muue kila mwanamke ambaye alikwisha fanya tendo la ndoa, Tazama sura |