Hesabu 31:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Musa akawauliza, Je! Mmewaponya wanawake wote hai? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Mose akawauliza, “Kwa nini mmewaacha wanawake hawa wote hai? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Mose akawauliza, “Kwa nini mmewaacha wanawake hawa wote hai? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Mose akawauliza, “Kwa nini mmewaacha wanawake hawa wote hai? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Musa akawauliza, “Je, mmewaacha wanawake wote hai? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Musa akawauliza, “Je, mmewaacha wanawake wote hai?” Tazama sura |