Hesabu 30:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Tena mwanamke atakapomwekea BWANA nadhiri, na kufunga nafsi yake kwa kifungo, naye aishi katika nyumba ya babaye, katika ujana wake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 “Msichana ambaye bado anaishi nyumbani kwa baba yake akiweka nadhiri kwa Mwenyezi-Mungu na kujifunga mwenyewe kwa ahadi, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 “Msichana ambaye bado anaishi nyumbani kwa baba yake akiweka nadhiri kwa Mwenyezi-Mungu na kujifunga mwenyewe kwa ahadi, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 “Mtu akiweka nadhiri kwa Mwenyezi-Mungu au akiahidi kwa kiapo na kujifunga nafsi yake kwa ahadi, ni lazima atimize ahadi yake; ni lazima atekeleze yote yale aliyotamka kwa kauli yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 “Mwanamwali anayeishi bado nyumbani mwa baba yake atakapoweka nadhiri kwa Mwenyezi Mungu, ama akajifunga mwenyewe kwa ahadi, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 “Wakati mwanamwali anayeishi bado nyumbani kwa baba yake atakapoweka nadhiri kwa bwana, ama amejifunga mwenyewe kwa ahadi, Tazama sura |