Hesabu 3:49 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC49 Basi Musa akawatoza fedha za ukombozi, hao waliozidi hesabu ya wale waliokombolewa na Walawi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema49 Mose akatii, akachukua fedha hizo za fidia ya hao waliozidi idadi ya waliofidiwa na Walawi; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND49 Mose akatii, akachukua fedha hizo za fidia ya hao waliozidi idadi ya waliofidiwa na Walawi; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza49 Mose akatii, akachukua fedha hizo za fidia ya hao waliozidi idadi ya waliofidiwa na Walawi; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu49 Kwa hiyo Musa akakusanya fedha za ukombozi kutoka kwa wale ambao hesabu yao ilizidi wale waliokombolewa na Walawi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu49 Kwa hiyo Musa akakusanya fedha za ukombozi kutoka kwa wale ambao hesabu yao ilizidi wale waliokombolewa na Walawi. Tazama sura |