Hesabu 3:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Katika Gershoni walikuwa jamaa ya Walibni, na jamaa ya Washimei, hawa ndio jamaa za Wagershoni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Familia za Walibni na Washimei zilitokana na Gershoni; hizi ndizo zilizokuwa jamaa za Wagershoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Familia za Walibni na Washimei zilitokana na Gershoni; hizi ndizo zilizokuwa jamaa za Wagershoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Familia za Walibni na Washimei zilitokana na Gershoni; hizi ndizo zilizokuwa jamaa za Wagershoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Kulikuwa na koo za Walibni na Washimei kwa Gershoni; hizo zilikuwa koo za Wagershoni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Kulikuwa na koo za Walibni na Washimei kwa Gershoni; hizi ndizo zilizokuwa koo za Wagershoni. Tazama sura |