Hesabu 3:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Basi Musa akawahesabu kama alivyoagizwa na neno la BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Basi, Mose akawahesabu kufuatana na neno la Mwenyezi-Mungu, kama alivyomwamuru. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Basi, Mose akawahesabu kufuatana na neno la Mwenyezi-Mungu, kama alivyomwamuru. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Basi, Mose akawahesabu kufuatana na neno la Mwenyezi-Mungu, kama alivyomwamuru. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Kwa hiyo Musa akawahesabu, kama alivyoamriwa na neno la Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Kwa hiyo Musa akawahesabu, kama alivyoamriwa na neno la bwana. Tazama sura |