Hesabu 3:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Nawe utawaweka Haruni na wanawe, nao wataushika ukuhani wao, na mgeni atakayekaribia atauawa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Utawateua Aroni na wanawe ili waweze kutekeleza huduma zao za ukuhani; lakini kama mtu yeyote mwingine atakaribia, atauawa.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Utawateua Aroni na wanawe ili waweze kutekeleza huduma zao za ukuhani; lakini kama mtu yeyote mwingine atakaribia, atauawa.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Utawateua Aroni na wanawe ili waweze kutekeleza huduma zao za ukuhani; lakini kama mtu yeyote mwingine atakaribia, atauawa.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Waweke Haruni na wanawe kuhudumu kama makuhani; mtu mwingine yeyote atakayesogea mahali patakatifu atauawa.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Waweke Haruni na wanawe kuhudumu kama makuhani; mtu mwingine yeyote atakayesogea mahali patakatifu ni lazima auawe.” Tazama sura |