Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Hesabu 29:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

9 pamoja na sadaka zake za unga, unga laini uliochanganywa na mafuta, sehemu ya tatu ya kumi kwa huyo ng'ombe, na sehemu ya mbili ya kumi kwa huyo kondoo,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Licha ya vitu hivi mtatoa sadaka ya unga safi uliochanganywa na mafuta kilo tatu pamoja na huyo fahali, kilo mbili pamoja na yule kondoo dume,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Licha ya vitu hivi mtatoa sadaka ya unga safi uliochanganywa na mafuta kilo tatu pamoja na huyo fahali, kilo mbili pamoja na yule kondoo dume,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Licha ya vitu hivi mtatoa sadaka ya unga safi uliochanganywa na mafuta kilo tatu pamoja na huyo fahali, kilo mbili pamoja na yule kondoo dume,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Pamoja na fahali, andaeni sadaka ya nafaka sehemu tatu za kumi ya efa ya unga laini uliochanganywa na mafuta; pamoja na kondoo dume, sehemu mbili za kumi ya efa ya unga laini;

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Pamoja na fahali, andaeni sadaka ya nafaka sehemu ya kumi tatu za efa za unga laini uliochanganywa na mafuta; pamoja na kondoo dume, sehemu ya kumi mbili za efa za unga laini;

Tazama sura Nakili




Hesabu 29:9
4 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha siku ya nane atachukua wana-kondoo wawili wa kiume wasio na dosari, na mwana-kondoo mmoja wa kike wa mwaka wa kwanza asiye na dosari, na sehemu tatu za kumi za efa moja ya unga mwembamba kuwa sadaka ya unga, kuchanganywa na mafuta, na logi moja ya mafuta.


na sehemu ya moja ya kumi kwa kila mwana-kondoo katika wale wana-kondoo saba;


lakini mtamsogezea BWANA sadaka ya kuteketezwa, kuwa harufu ya kupendeza; ng'ombe dume mchanga mmoja, na kondoo dume mmoja, na wana-kondoo dume saba wa mwaka mmoja; watakuwa wakamilifu kwenu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo