Hesabu 29:40 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC40 Naye Musa akawaambia wana wa Israeli vile vile kama hayo yote BWANA alivyomwagiza Musa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 Basi, Mose akawaambia Waisraeli kila kitu kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Basi, Mose akawaambia Waisraeli kila kitu kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 Musa akawaambia Waisraeli yale yote Mwenyezi Mungu alimwagiza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 Musa akawaambia Waisraeli yale yote bwana alimwagiza. Tazama sura |