Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Hesabu 29:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

37 pamoja na sadaka yake ya unga, na sadaka zake za vinywaji, kwa huyo ng'ombe, na kwa huyo kondoo dume, na kwa wale wana-kondoo, kama idadi yao ilivyo, kulingana na amri;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 Mtatoa pia sadaka ya nafaka na sadaka za kinywaji pamoja na huyo fahali, huyo kondoo dume, na wale wanakondoo kulingana na idadi yao kama inavyotakiwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 Mtatoa pia sadaka ya nafaka na sadaka za kinywaji pamoja na huyo fahali, huyo kondoo dume, na wale wanakondoo kulingana na idadi yao kama inavyotakiwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 Mtatoa pia sadaka ya nafaka na sadaka za kinywaji pamoja na huyo fahali, huyo kondoo dume, na wale wanakondoo kulingana na idadi yao kama inavyotakiwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 Pamoja na fahali, kondoo dume na wana-kondoo, andaeni sadaka zao za nafaka, na sadaka za vinywaji, kulingana na idadi iliyoainishwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 Pamoja na fahali, kondoo dume na wana-kondoo, andaeni sadaka zao za nafaka, na sadaka za vinywaji, kulingana na idadi iliyoainishwa.

Tazama sura Nakili

Hesabu 29:37
2 Marejeleo ya Msalaba  

lakini mtasongeza sadaka ya kuteketezwa, sadaka ya kusongezwa kwa moto, harufu ya kupendeza kwa BWANA; ng'ombe dume mmoja, na kondoo dume mmoja, na wana-kondoo dume wa mwaka mmoja wasio na dosari saba;

na mbuzi dume mmoja kuwa sadaka ya dhambi; zaidi ya hiyo sadaka ya kuteketezwa ya siku zote, na hiyo sadaka yake ya unga na sadaka yake ya kinywaji.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo