Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Hesabu 29:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

36 lakini mtasongeza sadaka ya kuteketezwa, sadaka ya kusongezwa kwa moto, harufu ya kupendeza kwa BWANA; ng'ombe dume mmoja, na kondoo dume mmoja, na wana-kondoo dume wa mwaka mmoja wasio na dosari saba;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

36 Mtatoa sadaka ya kuteketezwa iliyo harufu nzuri inayompendeza Mwenyezi-Mungu: Fahali mmoja, kondoo dume mmoja, na wanakondoo madume saba wa mwaka mmoja wasio na dosari.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

36 Mtatoa sadaka ya kuteketezwa iliyo harufu nzuri inayompendeza Mwenyezi-Mungu: Fahali mmoja, kondoo dume mmoja, na wanakondoo madume saba wa mwaka mmoja wasio na dosari.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

36 Mtatoa sadaka ya kuteketezwa iliyo harufu nzuri inayompendeza Mwenyezi-Mungu: fahali mmoja, kondoo dume mmoja, na wanakondoo madume saba wa mwaka mmoja wasio na dosari.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

36 Toeni sadaka ya kuteketezwa kama harufu nzuri inayompendeza Mwenyezi Mungu, sadaka ya kuteketezwa ya fahali mmoja, kondoo dume mmoja, na wana-kondoo dume saba wa mwaka mmoja, wote wasio na dosari.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

36 Toeni sadaka ya kuteketezwa kama harufu nzuri inayompendeza bwana, sadaka ya kuteketezwa ya fahali mmoja, kondoo dume mmoja, na wana-kondoo dume saba wa mwaka mmoja, wote wasio na dosari.

Tazama sura Nakili




Hesabu 29:36
3 Marejeleo ya Msalaba  

Nanyi mtasongeza sadaka ya kuteketezwa kuwa harufu ya kupendeza kwa BWANA; ng'ombe dume mchanga mmoja, na kondoo dume mmoja, na wana-kondoo dume saba wa mwaka mmoja wote wasiwe na dosari;


Tena siku ya nane mtakuwa na kusanyiko la makini sana; hamtafanya kazi yoyote kwenye nafsi zenu;


pamoja na sadaka yake ya unga, na sadaka zake za vinywaji, kwa huyo ng'ombe, na kwa huyo kondoo dume, na kwa wale wana-kondoo, kama idadi yao ilivyo, kulingana na amri;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo