Hesabu 29:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC34 na mbuzi dume mmoja kuwa sadaka ya dhambi; zaidi ya hiyo sadaka ya kuteketezwa ya siku zote, na hiyo sadaka yake ya unga na sadaka yake ya kinywaji. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Mtatoa pia beberu mmoja kuwa sadaka ya kuondoa dhambi, licha ya ile sadaka ya kawaida ya kuteketezwa, pamoja na sadaka yake ya nafaka na sadaka yake ya kinywaji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Mtatoa pia beberu mmoja kuwa sadaka ya kuondoa dhambi, licha ya ile sadaka ya kawaida ya kuteketezwa, pamoja na sadaka yake ya nafaka na sadaka yake ya kinywaji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Mtatoa pia beberu mmoja kuwa sadaka ya kuondoa dhambi, licha ya ile sadaka ya kawaida ya kuteketezwa, pamoja na sadaka yake ya nafaka na sadaka yake ya kinywaji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Ongeza beberu mmoja kuwa sadaka ya dhambi, kwa nyongeza ya kawaida ya sadaka ya kuteketezwa na sadaka yake ya nafaka, pamoja na sadaka yake ya kinywaji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Weka beberu mmoja kama sadaka ya dhambi, kwa nyongeza ya kawaida ya sadaka ya kuteketezwa, na sadaka yake ya nafaka, pamoja na sadaka zao za vinywaji. Tazama sura |