Hesabu 29:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 pamoja na sadaka yake ya unga, unga laini uliochanganywa na mafuta, sehemu ya tatu ya kumi ya ng'ombe, sehemu ya mbili ya kumi kwa kondoo dume, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Mtatoa pia sadaka yake ya nafaka ya unga safi uliochanganywa na mafuta: Kilo tatu kwa kila fahali, kilo mbili kwa kila kondoo dume, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Mtatoa pia sadaka yake ya nafaka ya unga safi uliochanganywa na mafuta: Kilo tatu kwa kila fahali, kilo mbili kwa kila kondoo dume, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Mtatoa pia sadaka yake ya nafaka ya unga safi uliochanganywa na mafuta: kilo tatu kwa kila fahali, kilo mbili kwa kila kondoo dume, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Pamoja na fahali, andaeni sadaka ya nafaka sehemu tatu za kumi ya efa ya unga laini uliochanganywa na mafuta; kwa kondoo dume, andaa unga sehemu mbili za kumi ya efa; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Pamoja na fahali, andaeni sadaka ya nafaka sehemu ya kumi tatu za efa za unga laini uliochanganywa na mafuta; kwa kondoo dume, andaa unga sehemu ya kumi mbili za efa; Tazama sura |