Hesabu 29:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 na mbuzi dume mmoja kuwa sadaka ya dhambi; zaidi ya hiyo sadaka ya kuteketezwa ya siku zote, na hiyo sadaka yake ya unga na sadaka yake ya kinywaji. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Mtatoa pia beberu mmoja kwa sadaka ya kuondoa dhambi, licha ya sadaka ya kawaida ya kuteketezwa, pamoja na sadaka yake ya nafaka na sadaka yake ya kinywaji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Mtatoa pia beberu mmoja kwa sadaka ya kuondoa dhambi, licha ya sadaka ya kawaida ya kuteketezwa, pamoja na sadaka yake ya nafaka na sadaka yake ya kinywaji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Mtatoa pia beberu mmoja kwa sadaka ya kuondoa dhambi, licha ya sadaka ya kawaida ya kuteketezwa, pamoja na sadaka yake ya nafaka na sadaka yake ya kinywaji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Ongeza beberu mmoja kuwa sadaka ya dhambi, kwa nyongeza ya sadaka ya kawaida ya kuteketezwa na sadaka yake ya nafaka, pamoja na sadaka yake ya kinywaji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Ongeza beberu mmoja kama sadaka ya dhambi katika nyongeza ya sadaka ya kawaida ya kuteketezwa na sadaka yake ya nafaka pamoja na sadaka ya kinywaji. Tazama sura |