Hesabu 29:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Tena siku ya tano mtasongeza ng'ombe dume tisa, na kondoo dume wawili, na wana-kondoo dume wa mwaka mmoja wasio na dosari kumi na wanne; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 “Siku ya tano, mtatoa fahali tisa, kondoo wawili, wanakondoo madume kumi na wanne wa mwaka mmoja wasio na dosari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 “Siku ya tano, mtatoa fahali tisa, kondoo wawili, wanakondoo madume kumi na wanne wa mwaka mmoja wasio na dosari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 “Siku ya tano, mtatoa fahali tisa, kondoo wawili, wanakondoo madume kumi na wanne wa mwaka mmoja wasio na dosari. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 “ ‘Katika siku ya tano, andaeni mafahali tisa, kondoo dume wawili na wana-kondoo kumi na wanne wa mwaka mmoja, wote wasio na dosari. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 “ ‘Katika siku ya tano andaeni mafahali tisa, kondoo dume wawili na wana-kondoo kumi na wanne wa mwaka mmoja, wote wasio na dosari. Tazama sura |