Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Hesabu 29:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 Tena siku ya tatu mtasongeza ng'ombe dume kumi na mmoja, na kondoo dume wawili, na wana-kondoo dume wa mwaka mmoja wasio na dosari kumi na wanne;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 “Siku ya tatu mtatoa: Fahali kumi na mmoja, kondoo wawili, wanakondoo kumi na wanne wa mwaka mmoja, wasio na dosari.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 “Siku ya tatu mtatoa: Fahali kumi na mmoja, kondoo wawili, wanakondoo kumi na wanne wa mwaka mmoja, wasio na dosari.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 “Siku ya tatu mtatoa: fahali kumi na mmoja, kondoo wawili, wanakondoo kumi na wanne wa mwaka mmoja, wasio na dosari.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 “ ‘Katika siku ya tatu, andaeni mafahali wachanga kumi na wawili, kondoo dume wawili, na wana-kondoo kumi na wanne wa mwaka mmoja, wote wasio na dosari.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 “ ‘Katika siku ya tatu andaeni mafahali wachanga kumi na wawili, kondoo dume wawili, na wana-kondoo kumi na wanne wa mwaka mmoja, wote wasio na dosari.

Tazama sura Nakili




Hesabu 29:20
4 Marejeleo ya Msalaba  

Tena siku ya pili mtasongeza ng'ombe dume wachanga kumi na wawili, na kondoo dume wawili, na wana-kondoo dume wa mwaka mmoja kumi na wanne wakamilifu;


na mbuzi dume mmoja kuwa sadaka ya dhambi; zaidi ya hiyo sadaka ya kuteketezwa ya sikuzote, na sadaka yake ya unga, na sadaka zake za vinywaji.


pamoja na sadaka yake ya unga, na sadaka zake za vinywaji, kwa hao ng'ombe, na kwa hao kondoo, na kwa wale wana-kondoo kama idadi yao ilivyo kulingana na amri;


Hata ikawa katikati ya sikukuu Yesu alipanda kuingia hekaluni, akafundisha.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo