Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Hesabu 29:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

14 pamoja na sadaka zake za unga, unga laini uliochanganywa na mafuta, sehemu ya tatu ya kumi kwa kila ng'ombe katika wale kumi na watatu na sehemu ya mbili ya kumi kwa kila kondoo katika hao kondoo dume wawili;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Sadaka itakayoandamana nazo itakuwa unga safi uliochanganywa na mafuta: Kilo tatu kwa kila fahali, kilo mbili kwa kila kondoo,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Sadaka itakayoandamana nazo itakuwa unga safi uliochanganywa na mafuta: Kilo tatu kwa kila fahali, kilo mbili kwa kila kondoo,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Sadaka itakayoandamana nazo itakuwa unga safi uliochanganywa na mafuta: kilo tatu kwa kila fahali, kilo mbili kwa kila kondoo,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Pamoja na hao mafahali kumi na watatu, kila mmoja aandaliwe na sadaka ya nafaka sehemu tatu za kumi ya efa ya unga laini uliochanganywa na mafuta; kwa kondoo dume wawili, kila mmoja aandaliwe sehemu mbili za kumi ya efa ya unga laini;

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Pamoja na hao mafahali kumi na watatu, kila mmoja aandaliwe na sadaka ya nafaka sehemu ya kumi tatu za efa za unga laini uliochanganywa na mafuta; kwa kondoo dume wawili, kila mmoja aandaliwe sehemu ya kumi mbili za efa za unga laini;

Tazama sura Nakili




Hesabu 29:14
3 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha siku ya nane atachukua wana-kondoo wawili wa kiume wasio na dosari, na mwana-kondoo mmoja wa kike wa mwaka wa kwanza asiye na dosari, na sehemu tatu za kumi za efa moja ya unga mwembamba kuwa sadaka ya unga, kuchanganywa na mafuta, na logi moja ya mafuta.


nanyi mtasongeza sadaka ya kuteketezwa, sadaka isongezwayo kwa moto, harufu ya kupendeza kwa BWANA; ng'ombe dume wachanga kumi na watatu na kondoo dume wawili, na wana-kondoo dume wa mwaka mmoja kumi na wanne; wote watakuwa wakamilifu;


na sehemu ya moja ya kumi kwa kila mwana-kondoo katika wale wana-kondoo kumi na wanne;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo