Hesabu 28:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Tena katika siku ya malimbuko, hapo mtakapomsogezea BWANA sadaka ya unga mpya katika sikukuu yenu ya majuma mtakuwa na kusanyiko takatifu; hamtafanya kazi yoyote ya utumishi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 “Mnamo siku ya kwanza ya sikukuu ya majuma wakati mnapomtolea Mwenyezi-Mungu malimbuko ya nafaka zenu, mtafanya mkutano mtakatifu; msifanye kazi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 “Mnamo siku ya kwanza ya sikukuu ya majuma wakati mnapomtolea Mwenyezi-Mungu malimbuko ya nafaka zenu, mtafanya mkutano mtakatifu; msifanye kazi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 “Mnamo siku ya kwanza ya sikukuu ya majuma wakati mnapomtolea Mwenyezi-Mungu malimbuko ya nafaka zenu, mtafanya mkutano mtakatifu; msifanye kazi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 “ ‘Siku ya malimbuko, mnapomletea Mwenyezi Mungu sadaka ya nafaka mpya wakati wa Sikukuu ya Majuma, mwe na kusanyiko takatifu na msifanye kazi zenu za kawaida. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 “ ‘Siku ya malimbuko, mnapomletea bwana sadaka ya nafaka mpya wakati wa Sikukuu ya Majuma, mwe na kusanyiko takatifu na msifanye kazi zenu za kawaida. Tazama sura |