Hesabu 28:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Mtasongeza wanyama hao zaidi ya hiyo sadaka ya kuteketezwa ya asubuhi, iliyo sadaka ya kuteketezwa ya sikuzote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Mtatoa vitu hivi licha ya ile sadaka ya kuteketezwa ya kawaida inayotolewa kila siku asubuhi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Mtatoa vitu hivi licha ya ile sadaka ya kuteketezwa ya kawaida inayotolewa kila siku asubuhi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Mtatoa vitu hivi licha ya ile sadaka ya kuteketezwa ya kawaida inayotolewa kila siku asubuhi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Andaa hizi licha ya zile sadaka za kawaida za kuteketezwa za kila asubuhi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Andaa hizi licha ya zile sadaka za kawaida za kuteketezwa za kila asubuhi. Tazama sura |