Hesabu 27:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Tena ikiwa hana binti, mtawapa nduguze urithi wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Ikiwa hana binti, basi urithi huo watapewa ndugu zake wa kiume. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Ikiwa hana binti, basi urithi huo watapewa ndugu zake wa kiume. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Ikiwa hana binti, basi urithi huo watapewa ndugu zake wa kiume. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Ikiwa hana binti, wape ndugu zake wa kiume urithi wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Ikiwa hana binti, wape ndugu zake wa kiume urithi wake. Tazama sura |