Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Hesabu 27:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 Nawe utaweka juu yake sehemu ya heshima yako, ili jumuiya yote ya wana wa Israeli wapate kutii.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Mpe sehemu ya mamlaka yako ili jumuiya yote ya Waisraeli imtii.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Mpe sehemu ya mamlaka yako ili jumuiya yote ya Waisraeli imtii.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Mpe sehemu ya mamlaka yako ili jumuiya yote ya Waisraeli imtii.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Mpe sehemu ya mamlaka yako ili jumuiya yote ya Waisraeli wapate kumtii.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Mpe sehemu ya mamlaka yako ili jumuiya yote ya Waisraeli ipate kumtii.

Tazama sura Nakili




Hesabu 27:20
11 Marejeleo ya Msalaba  

Na hao wana wa manabii, waliokuwako Yeriko wakimkabili, walipomwona, walisema, Roho ya Eliya inakaa juu ya Elisha. Wakaja kuonana naye, wakainama kifudifudi mbele yake.


Ndipo Sulemani akaketi katika kiti cha enzi cha BWANA, awe mfalme badala ya Daudi babaye, akafanikiwa; nao Israeli wote wakamtii.


Naye BWANA akamtukuza Sulemani mno machoni pa Israeli wote, akampa fahari ya kifalme ya kumpita mfalme awaye yote aliyekuwa kabla yake katika Israeli.


Nami nitashuka niseme nawe huko, nami nitatwaa sehemu ya roho iliyo juu yako na kuiweka juu yao; nao watachukua mzigo wa watu hawa pamoja nawe, ili usiuchukue wewe peke yako.


kisha ukamweke mbele ya Eleazari kuhani, na mbele ya jumuiya yote; ukampe mausia mbele ya macho yao.


Naye atasimama mbele ya Eleazari kuhani, naye atamwulizia kwa hukumu ya ile Urimu mbele za BWANA; kwa neno lake watatoka, na kwa neno lake wataingia; yeye na wana wa Israeli wote pamoja naye, mkutano wote pia.


na Roho ya BWANA itakujia kwa nguvu, nawe utatabiri pamoja nao, nawe utageuzwa kuwa mtu mwingine.


Ikawa, alipogeuka kumwacha Samweli, Mungu akambadilisha moyo; nazo ishara zile zote zikatukia siku ile ile.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo