Hesabu 27:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 BWANA, Mungu wa roho za watu wote, na aweke mtu juu ya kusanyiko, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 “Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu uliye asili ya uhai wote, nakuomba umteue mtu wa kuisimamia jumuiya hii, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 “Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu uliye asili ya uhai wote, nakuomba umteue mtu wa kuisimamia jumuiya hii, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 “Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu uliye asili ya uhai wote, nakuomba umteue mtu wa kuisimamia jumuiya hii, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 “Mwenyezi Mungu, Mungu wa roho zote za wanadamu, na amteue mtu juu ya jumuiya hii Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 “bwana, Mungu wa roho zote za wanadamu, na amteue mtu juu ya jumuiya hii Tazama sura |