Hesabu 27:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Na ukiisha kuiona, wewe nawe utakusanyika pamoja na baba zako, kama Haruni ndugu yako alivyokusanyika; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Ukisha iona, nawe pia utafariki kama ndugu yako Aroni alivyofariki, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Ukisha iona, nawe pia utafariki kama ndugu yako Aroni alivyofariki, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Ukisha iona, nawe pia utafariki kama ndugu yako Aroni alivyofariki, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Baada ya kuiona, wewe pia utakusanywa pamoja na watu wako kama ndugu yako Haruni alivyokusanywa, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Baada ya kuiona, wewe pia utakusanywa pamoja na watu wako kama ndugu yako Haruni alivyokusanywa, Tazama sura |