Hesabu 26:61 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC61 Tena Nadabu na Abihu wakafa, hapo waliposongeza moto wa kigeni mbele za BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema61 Nadabu na Abihu walikufa walipomtolea Mwenyezi-Mungu sadaka ya moto usiofaa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND61 Nadabu na Abihu walikufa walipomtolea Mwenyezi-Mungu sadaka ya moto usiofaa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza61 Nadabu na Abihu walikufa walipomtolea Mwenyezi-Mungu sadaka ya moto usiofaa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu61 Lakini Nadabu na Abihu walikufa wakati walitoa sadaka mbele za Mwenyezi Mungu kwa moto usioruhusiwa.) Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu61 Lakini Nadabu na Abihu walikufa wakati walitoa sadaka mbele za bwana kwa moto usioruhusiwa.) Tazama sura |