Hesabu 26:56 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC56 Kama kura itakavyokuwa, ndivyo urithi wao utakavyogawanywa kati yao, hao wengi na hao wachache. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema56 Urithi wa kila kabila utagawanywa kwa kura, kila kabila litapata kulingana na ukubwa au udogo wake.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND56 Urithi wa kila kabila utagawanywa kwa kura, kila kabila litapata kulingana na ukubwa au udogo wake.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza56 Urithi wa kila kabila utagawanywa kwa kura, kila kabila litapata kulingana na ukubwa au udogo wake.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu56 Kila urithi utagawanywa kwa kura miongoni mwa makundi makubwa na madogo.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu56 Kila urithi utagawanywa kwa kura miongoni mwa makundi makubwa na madogo.” Tazama sura |