Hesabu 26:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Wana wa Manase; wa Makiri, jamaa ya Wamakiri; na Makiri akamzaa Gileadi; wa Gileadi, jamaa ya Wagileadi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Kabila la Manase lilikuwa na jamaa ya: Makiri, Gileadi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Kabila la Manase lilikuwa na jamaa ya: Makiri, Gileadi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Kabila la Manase lilikuwa na jamaa ya: Makiri, Gileadi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Wazao wa Manase: kutoka kwa Makiri, ukoo wa Wamakiri (Makiri alikuwa baba wa Gileadi); kutoka kwa Gileadi, ukoo wa Wagileadi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Wazao wa Manase: kutoka kwa Makiri, ukoo wa Wamakiri (Makiri alikuwa baba wa Gileadi); kutoka kwa Gileadi, ukoo wa Wagileadi. Tazama sura |